August 22 Itabaki katika Historia ya Tanzania kufuatia waziri mkuu mstaafu wa Awamu ya tatu
Frederick Turuwai Sumaye kujiengua katika chama tawala cha Tanzania CCM na kujiunga na Umoja Wa Katiba ya Wananchi UKAWA . Hapa chini tumekuwekea Suati ya Mh: Sumaye akiongea na vyombo vya Habari kama ilivyorekodiwa na Millardayo wa @Cloudsfm Radio na @TZA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment