August 19, 2015

 
 Mgombea urais wa CHADEMA Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Haji Duni leo amesaini hati ya kiapo ya kugombea urais wa Tanzania katika Mahakama kuu 


 
Mgombea urais wa CCM John Magufuli akiwa na mgombea mwenza Samia Suluhu leo wakisaini hati ya kiapo ya kugombea urais wa Tanzania katika Mahakama kuu

Related Posts:

  • Mwasiti amshtua Babu Tale Ukimya wa msanii wa Bongo Fleva,Mwasiti Almas kwenye muziki umemshtua meneja wa msanii Diamond,Babu Tale. Babu Tale alimzungumzia msanii huyo hivi karibuni alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha XXL ambapo a… Read More
  • Idadi ya waliofariki Ghana yafikia 175   Takriban watu 175 wamefariki kufiakia sasa kufuatia moto uliotokea katika kituo kimoja cha mafuta katika mji mkuu wa Ghana Accra. Moto huo uliozuka siku ya jumatano usiku ulianza wakati wakaazi wa mji huo walipok… Read More
  • New VIDEO | JOZZ D - My Candy Song Name/Jina la Nyimbo: My Candy.Artist Name/Jina la Msanii: JOZZ D .Genre/Aina ya Nyimbo: BONGO FLEVA & AFRO BEATSDirected/Mwongozaji: Remy Ivo Lupamba. Producer/Mtengenezaji: JOHNBGRAND.Studio: GRANDMASTER.C… Read More
  • January Makmba kufunguka jumapilu ijayo   Mbunge wa Bumbuli, Tanga na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba nae ni mmoja wa walioingia kwenye headlines kwamba na yeye ameingia kwenye list ya wagombea wa CCM kwenye nafasi ya U… Read More
  • Ulikuwa wapi ya Hussein Machozi  Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye msanii wa bongo fleva Hussein Machozi amekuja na hii hapa mpaya kabisa.  Download hapa chini … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE