Marekebisho saba yafanyika muswada wa habari
Serikali leo imewasilisha bungeni muswada wa sheria ya huduma za habari
mwaka 2016, huku ikitaja marekebisho saba katika muswada huo.
Marekebisho hayo ni pamoja na kuainisha haki na wajibu wa wanahabari,
kuai…Read More
Yemi Alade amwagia sifa Nandy
Msanii wa Nigeria anayetarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la Fiesta
Jumamosi hii ya Novemba 5, Yemi Alade amemsifia Nandy kwa kudai kuwa
alitabiri atakuwa msanii mkubwa.
Akiongea mbele ya waandishi wa h…Read More
Rais Magufuli atamani kuhudhuria tamasha la Fiesta Dar
Rais Magufuli akipiga tumba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli amesema alitamani kuhudhuria tamasha la muziki la Fiesta ambalo
litafanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment