August 19, 2015

 
Vyombo vya habari vimekumbushwa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa kwa kufuata misingi ya maadili ya sekta hiyo ili kupata viongozi bora katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
Kauli hiyo imetolewa na Mgombea wa ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia‭ ‬chama cha ACT-Wazalendo‭ ‬Ndugu.‭Chiku Abwao na kuwaomba kujiepusha na rushwa ili kutekeleza majukumu yao kwa haki.
Aidha,‭ ‬amesema ameamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo ili kuleta mageuzi thabiti ya kujenga nchi.
Hata hivyo,‭ ‬Mhe.‭ ‬Chiku Abwao amewakumbusha wananchi kutambua viongozi wanaoweza kuwaletea maendeleo katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu badala ya kutanguliza ushabiki wa vyama vya siasa.


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE