Wadau wa media nchini Tanzania pamoja na Cloud Media inayomiliki Clouds Radio na Clouds TV wamehudhulia arobaini ya aliyekuwa mdau wa media marehemu Frank Sanga mkoani Morogoro. Arobaini hiyo imefanyaka siku ya Tarehe 18 August mkaoani Morogoro
Familia inatoa shukrani kwa wotw waliobahatika kuungana nao katika tukio hilo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment