Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian
Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassam

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akizungumza.

Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kutangazwa rasmi na Tume ya Uchaguzi kuwania nafasi hiyo, leo
Agosti 21, 2015 kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam. Pembeni
yake ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni
Dk.Magufuli akiongea na
waandishi wa habari muda mfupi baada ya kurejesha fomu katika ofisi za
Taifa ya Tume ya Uchaguzi NEC, mapema leo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment