September 18, 2015

11820739_419258674934747_1464202425_n[1]

Sherehe ya kutimiza siku 40 ya mtoto wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond,Tiffah inatarajiwa kufanyika Septemba 20 nyumbani kwa ‘’State House’’ Tegeta,pia inaandaliwa na kamati maalum ya watu watano.
11856726_1612223899048372_1842153825_n[1]
Maandalizi ya sherehe asilimia kubwa yameshakamilia na yalianza kuandaliwa kwa muda wa wiki mbili sasa chini ya wanakamati maalum ambayo inaongozwa na mama Diamond’’Sanura Kassim’.
Wanakamati wengine ni dada wawili wa msanii ambao ni Esma Khan na Queen Darlin.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE