Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally
Yahaya Simba akizungumza jambo na viongozi wa Clouds Media Group mara
baada ya kuwasili katika ofisi za Clouds Media kujionea shughuli
mbalimbali zinavyofanyika.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt.Ally
Yahaya Simba akisalimiana na Mkurugenzi wa Vipindi Na Uzalishaji Clouds
Media Group,Ruge Mutahaba alipotembelea ofisi za Clouds Media mapema jana
kushuhudia shughuli mbalimbali zinavyofanyika.
Ruge Mutahaba akitoa maelekezo kwa mkurugenzi wa TCRA
Meneja wa Vipind wa Clouds Fm, Sebastian Maganga akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi wa TCRA alipotembelea ofisi za Clouds media Group siku ya jana
Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa mkurugenzi wa TCRA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment