September 05, 2015


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, alipowasili katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Kigoma Kusini, waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika leo Septemba 4, 2015.
 
 
 
 

Related Posts:

  • Mabasi kugoma kesho   Wakati Jumuiya ya Madereva Tanzania wakipanga kufanya mkutano wao kesho jijini Dar es salaam kujadili hatma ya mgogoro kati yao na serikali, Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA wasisitiza kuanza mgomo wa … Read More
  • Filamu ya Sniper yapigwa marufuku   Wanachuo wa Kiislamu wa Chuo Kikuu cha Maryland nchini Marekani wamepongeza na kukaribisha hatua ya kufutwa uamuzi wa kuoneshwa filamu ya American Sniper. Wanafunzi hao wamesema hiyo ni hatua nzuri ya kuj… Read More
  • Ben Pol Asaini Mkataba na Pana Music Ltd Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam.Ben is an award winning singer and songwriter mainly … Read More
  • Idadi ya waliokufa katika tetemeko yaongezeka    Majengo yaliyoporomoka Nepal. Idadi ya watu ambao wamethibitishwa kuaga dunia wakati kulipotokea tetemeko kubwa la ardhi nchini Nepal siku ya Jumamosi imepanda hadi zaidi ya watu 5000. … Read More
  • Watanzania wengine 20 kurejea kutoka A/Kusini   Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kuwa, Watanzania wengine 20 waliolazimika kuyakimbia makazi yao huko Johannesburg nchini Afrika Kusini wako salama na wiki hii wanatarajiwa kurejeshwa nyumban… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE