seneta balali wa tigo naye alikuwepo
Waluguru Original wakifanya yao
DJ JD akiwa tayari kabisa kufanya makamuzi usiku huwo
Mkurugenzi wa Samaki akijiandaa kukata keki
Mtangazaji wa Planet Fm Zimbi akiwa na mdau wake kushoto
Mkurugenzi wa Samaki Spot Farida Matlou akimlisha keki meneja wake Godfrey Mlingwa usiku wa kuamkia leo katika Party ya kuhadimisha miaka miwili ya Samaki Spot
Band ya Waluguru wakiongozwa na Killer Boy wakitoa burudani usiku wakuamia leo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment