Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo  ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine  ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.
Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825+255 655 049 647
IMG_20151010_014924
IMG_20151010_022504