Mwanamuziki mkali wa sauti Tanzania Rich Mavoko leo hii ametuletea ngoma yake mpya kabisa inayoitwa, Naimani. Kumbuka kwamba Rich Mavoko kwa mara ya September 2014 ndiyo aliachia wimbo wake mwisho unaofanya poa mpaka leo wimbo wa pacha wangu
Sikiliza na Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment