Mkali wa muziki wa Rap nchini Tanzania anyefanya poa sana mpaka nje ya Tanzania kwa sasa Nay wamitego, baada ya kufanya poa na audio ya wimbo wake wa Nyumbani kwtu, wimbo ulioimbwa katika mahadhi ya mnanda, sasa ametuletea video ya wimbo huwo. Nay ambaye nyimbo zke nyingi zimekuwa hit, anaamini kabisa video ya wimbo wa nyumbani kwetu utakufanya uzidi kufurahi kazi zake anamaliza kwa kusema
Lissu: Sina ninachokiogopa, nipo tayari kufungwa, hata kufa
-
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu
amesema amejiandaa kufungwa na...
The post Lissu: Sina ninachokiogopa, nipo taya...
3 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment