Mwanamuziki mkongwe asiyechuja katika anga ya Bongo fleva, Hamis Mwinjuma Mwana FA, ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa ASANTENI kwa kuja. Mwana Fa ametamba na nyimbo kama, ingekuwa vp, Alikufa kwa ngoma, yalaiti, Hawajua, Mfalme na nyingine nyingi ambazo tukisema tuzitaje itatuchukua muda sana lakini zote zilifanya vizuri, Lakini safari hii anakwambia Asanteni kwa kuja.
Sikiliza na Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment