Baada ya hayo, Idris amehojiwa na mtangazaji Larry Madowo wa The TREND NTV Kenya na kusema yafuatayo ‘Ile video ilipopostiwa na kila mtu kuanza kuiongelea ndio na watu kuanza kuja kwangu kuniita Bwege sababu siwezi kumuongoza Mwanamke wangu anachukuliwa na siwezi sifanya chochote, niliongea na Wema baada ya hii video lakini hatukuongea vizuri akanipa attitude, kilichonifanya nijisikie vibaya sio lile busu pekee, ni sababu kwanini video ipo mitandaoni‘
‘Siwezi kusema tumeachana na Wema lakini ukweli ni kwamba hatuna maelewano, sio kwamba najaribu kusema Wema ni mtu mbaya… ni mtu poa na ile video inawezekana hata hakujua inapostiwa kwenye mitandao, tatizo lilikua ni pale nilipompigia ingetakiwa tufikie kwenye maelewano na sio attitude‘ – Idris

0 MAONI YAKO:
Post a Comment