Inasemekana kuwa, Mh. Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake huyu wikiendi hii.
Congrats to him, nitarudi na full details later coz for now, this is all their is to the story.
Official Music Video: Aslay - Hauna
Aslay kwa sasa ndiyo mwanamuziki anayeongoza kwa kuachia nyimbo zake mfululizo. Kila kukicha Aslay anathibitisha kipaji chake kilivyo cha hali ya juu. Eti wengine wanasema aliondoka na daftari la nyimbo wakati kund…Read More
Hii Ndiyo penati iliyoipa Yanga goli la 3
Mpira umemalizika katika uwanja wa Taifa. Matokeo ni Yanga wameifunga Mbeya City Magoli 5 kwa Sufuri. Tazama Goli la tatu la Yanga lililofungwa kwa mkwaju wa Penati
&…Read More
Official VIDEO: Star Boy Wizkid na Mut4y - Manya
African star Boy kama anavyofahamika na wengi mwanamuziki Wizkid kutoka nchini Nigeria, ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa Manya akiwa na mwanamuzik Mut4Y
. Anakupa muda wa kuitazama hii video hapa hapa . Bofya …Read More
New Audio: Msaga sumu x Man Red Red
Mfalme wa Singeli Tanzania Msaga Sumuj, ametuletea wimbo mpya unaitwa Vyuma vimekaza. Msaga hapa amemshirikisha mwanamuziki Man Red Red
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment