Kutoka katika Lebo ya P K P anaitwa Nedy Music akiwa chini ya Ommy Dimpoz, amekuletea video ya wimbo wake wa Usiende Mbali. Katika wimbo huwo pia Nedy amemshirikisha Ommy Dimpoz
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment