Habari iliyochukua nafasi kubwa usiku wa leo hii ni ile ya kufukuzwa kazi waziri wa mambo ya ndani ya nchi MH: Charles Kitwanga. kutokana na kuingia bungeni na kujibu maswali akiwa amelewa.Tumeipata Video inayomuonesha waziri huyo akijibu maswali hayo bungeni
Tazama Video
0 MAONI YAKO:
Post a Comment