
Tumeshuhudia mwanamuziki Chid Benzi Baada ya kuathiliwa na madawa ya Kulevya, wana harakati Kala Pina na Babu Tale walifanikiwa kumfisha Soba kwa ajili ya matibabu, hatimaye Chid amerudi kwenye hali yake ya kawaida na kutolewa Soba. Sasa ni zamu ya mwanamuziki mwingine nguli nchini Tanzania Ray C, kufikishw akatika kituo hicho. Tazama Video hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment