June 15, 2016


Ilikuwa siku kama ya leo tarehe 16 Juni 1976 kule Soweto,Afrika kusini
aka Azania,wanafunzi walihamua kwenda mitaani kufanya maandamano
ya kupinga uhamuzi wa serikali ya makaburu,kutaka lugha ya Kikaburu
(AFRIKANS) ifundishwe mashuleni.
Katika maandamano yele ya wanafunzi kupinga amri za serikali ya wazungu
wachache,yalisabisha baadhi ya wanafunzi na raia wengi wa afrika weusi
kupoteza maisha yao,kwa kupigania haki
yao,ambayo leo hii kuna baadhi
waafrika wanavuna matunda ya mapambano yale.
Pichani juu mmoja ya wanafunzi kijana Mbuyisa Makhubu akiwa amembeba
mwanafunzi mwezie  Hector Pieterson aliyepigwa risasi na askari wa makaburu.
(Picha ilipigwa na Sam Nzima wakati ule)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE