June 15, 2016

Mnamo Juni 16, 1976 maelfu ya wanafunzi weusi wa Afrika Kusini walimiminika majiani katika mtaa wa Soweto, kupinga amri ya serikali ya kutaka lugha ya watu weupe nchini humo ya Afrikaan itumike kufundishia mashuleni. Machafuko yaliyofuatia tukio hili yalipoteza maisha ya watu 500 na kuacha majeruhi kadhaa. Tokea kumalizika kwa utawala wa kibaguzi mwaka 1994, kila mwaka Afrika Kusini inawakumbuka wanafunzi mashujaa waliopoteza maisha yao siku hii. Kesho Jacob Zuma atalihutubia taifa akiwa mtaa wa Soweto, amabapo ndipo maandamano yalipoanzia miaka 40 iliyopita.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE