June 02, 2016

9
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji amechukua fomu kutetea nafasi ya uenyekiti katika uchaguzi wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika mwezi huu.
Aidha baada ya kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa klabu hiyo ameeleza kuwa ameeleza kuwa kuna baadhi ya watu kwa kushirikiana na TFF wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo, pia amewasimamisha wanachama wote waliosikika kwenye audio ya watu wanaopanga kuhujumu uchaguzi wa Yanga na mwisho ameitaka TAKUKURU kufanya uchunguzi ili kuweza kubaini watu wanaotaka kuhujumu uchumi.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE