Cloudsmediagroup imeingia makubaliano na #AzamMedia kwaajili ya kuonyesha mashindano ya #SportsXtraNdondoCup2016
kupitia Azam two na Azam sports HD......uzinduzi rasmi ni siku ya
Jumapili uwanja wa Bandari kati ya mabingwa watetezi Faru Jeuri vs
Temeke Market kuanzia saa 6 mchana, live Azamtv
0 MAONI YAKO:
Post a Comment