June 26, 2016

Mashabiki-Yanga
Klabu ya Yanga imeamua kutoa fursa kwa mashabi wake na mashabiki wa soka la Tanzania kuingia bure kwenye mchezo wao wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe miamba ya soka la DR Congo mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumanne June 28 kwenye uwanja wa taifa.
Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa klabu ya Yanga Jerry Cornel Muro inasomeka hivi: “Mechi ya Yanga na TP Mazembe Jumanne 28-06-2016, mashabiki wote wanaruhusiwa kuingia uwanjani BURE bila ya kiingilio, lengo likiwa ni kuwahakikishia WATANZANIA wanapata nafasi ya kui-support timu yao ya Yanga.”
IMG-20160626-WA0028

Related Posts:

  • CUF wazichapa kavukavu mbele ya wana Habari    Watu wasiojulikana wakiwa na bastola wamevamia mkutano wa wanachama wa CUF ambao wanamuunga mkono, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad na kuwapiga wanachama wa CUF pamoja na waandishi wa habari … Read More
  • NMB Bank yazindua kituo cha biashara Kahama       Benki ya NMB Tanzania imezindua rasmi kituo cha biashara mjini Kahama (Kahama Business Centre) ambacho kitakuwa kikitoa huduma kwa wananchi wa kanda ya ziwa ikijumuisha mikoa mitatu ya Shinyanga, … Read More
  • Rasmi,bDiamond Azindua Perfume yake ya Chibu Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria. Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha Tsh 105,000. Diamond alisema “Inaaminika kuwa Dubai ndi… Read More
  • Diamond anakukaribisha katika uzinduzi wa Perfume yake    Lile tukio kubwa lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kubwa sana juu ya mwanamuziki Diamond kuzindua Perfume yake litafanyika kesho . zaidi soma hapa alichokiandika Diamond   Tomorrow will be officially l… Read More
  • New Video: P-Square - Nobody   Kutoka nchini Nigeria P-Square wametuletea video mpya kabisa inaitwa, Nobody. Video ipo hapa chini waweza kuitazama na kudownload sasa kupitia Youtube.          &nbs… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE