July 14, 2016

 Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamaba Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu. Zitto Zuberi Kabwe amefunga ndoa muda mfupi uliopita huko visiwani Zanzibar. Taarifa zaidi tutawaletea zikitufikia 



 



Chanzo: Amplifaya ya Clouds Fm na Mwananchi Comminucation

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE