July 14, 2016


Kwa mara nyingine tena yule mkali wa kuandika mashairi ya Hip Hop mkoani Morogoro bwana mdogo Mash J wa Mpera Mpera, amekuja tena na wimbo wake mpya wa Taarifa aliomshirikisha mkali wa Chorus toka Weusi mtu mzima G. Nako. Wimbo huo mpya umefanywa na Producer Vennt Skillz katika studio za Kwanza Records za Mjini Morogoro


                     

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE