July 16, 2016


Yule mwanamume wa India anaependa kuvalia mrundo wa dhahabu hadi kubandikwa jina The Gold Man ameuawa.
Mtu huyo kwa jina Datta Phuge aliwahi kununua shati mojawapo ghali zaidi duniani kwani lilikuwa la dhahabu.
Dhababu ya shati hilo inasemekana hapo 2013 ilikuwa kilo tatu 3kg na liligharimu $250,000.
Polisi wamewakamata wanaume wanne kuhusiana na mauaji ya Datta Phuge.
Tetesi ni kuwa huenda si shati lake la dhahabu wala vito na vyombo vya dhahabu anavyovaa vilivyomchongea kuawa bali wanashuku ulikuwa mzozo wa kifedha.
Phuge alikuwa akifanya biashara ya kukopesha watu fedha kwa faida na huenda alikosana na baadhi ya wateja wake.
Katika uhai wake aliwahi kuulizwa kwanini anapenda kuvalia na kujinakshi kwa dhahabu chungu nzima, jibu lake ni hili....Hiyo ndio imekuwa ndoto yangu tangu zamani, kama vile watu wengine hupenda magari ya kifahari kama vile Audi ,Mercedes, nami napendelea mng'aro wa dhahabu''

Related Posts:

  • Official music video:Y. Tony - Martina Baada ya kukaa kimya kwa muda sasa, muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo ‘Masebene’ Y-Tony amerejea tena kwa kishindo na video ya wimbo wake mpya ‘Martina’ akiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Fresh Code Entertainment.… Read More
  • Rajab Zahir ajiunga Mbeya City    Mlinzi wa kati Rajab  Zahir aliyekuwa akicheza kwa mkopo kwenye klabu ya Stand United akitokea  Dar Young Africans ya jijini Dar es Salaam  amejiunga na kikosi cha Mbeya City Fc  leo. K… Read More
  • Ripoti kuhusu ufisadi NSSF, Ingia hapa kuipata Mapema leo, Julai 18, 2016 Wakurugenzi 6 na Mameneja 6 wa NSSF walisimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa utumiaji mbaya wa madaraka katika kutoa ajira, manunuzi na mengineyo. Hapa chini ni taarifa ya ukaguzi wa hesa… Read More
  • Picha: Moto wateketeza vibanda katika soko la Mwanakwerekwe Zanzibar Vibanda vya wafanyabiashara katika soko la Mwana Kwerekwe Zanzibar vimetetekea baada ya moto mkubwa kuwaka sokoni hapo. Chanzo cha moto huo ni uchomaji watakataka pembezon… Read More
  • Brand New Audio: 20% - Sitoi Amekaa klwenye game kwa muda mrefu na aliandika historia ya Tanzania Music Award baada ya kuchukua tuzo 5.Akakaa nje ya game kwa muda. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa sana wa kutunga nyimbo zenye ujumbe na sauti yake y… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE