July 16, 2016

 

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.

Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye ambayo mwimbaji ameyatumia sio mazuri kimaadili’- Godfrey Mngereza


Related Posts:

  • Hii inamuhusu yule akari aliyekutwa na fedha bandia Jeshi la Magereza nchini limemfukuza  kazi askari wake wa Gereza Bariadi, Mkoani Shinyanga (pichani) kwa kosa la kupatikana na fadha za bandia kinyume na Sheria za Nchi. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana Mach… Read More
  • ZItto Kabwe awaumbua watu uenyekiti ACT Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga nacho hivi karibuni cha ACT. Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindikatika mahojiano k… Read More
  • Marubani wawili wa Saudi Arabia waokolewa na jeshi la Marekani Marubani wawili wa Saudi Arabia waliokolewa na wanajeshi wa Marekani baada ya helikopta yao kupata ajali katika Bahari ya Sham NKwa mujibu wa taarifa iliotolewa na vyombo vya habari ni kwamba, marubani wawili wa Saudi A… Read More
  • Upigaji kura waendelea Nigeriamaeneo mengi yanahesabu kura zilizopigwa Upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Nigeria unaendelea kwenye vituo kadha kwa siku ya pili kutokana na kuwepo matatizo ya kiufundi kwa vifaa vya kukagua kadi za kura jana jumamosi… Read More
  • Alichosema Madee kuhusu kifo cha boss wake Abdul Bobge Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake. Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connec… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE