Mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Tanzania anayekipiga katika timu ya KRC Genk Mbwana Samata leo hii ameifungia tena timu yake goli la pili dhidi ya Oostende
Fiesta 2016: Kilichotokea Singida hiki hapa
Tamasha la Fiesta 2016 linaendelea kuwafikia watanzania katika miji na majiji yaliyopangwa kufika kwa msimu huu. Usiku wa jana 11 sept kuamkia 12 september wakazi wa Singida waliweza kuitumia vema fursa hii inayop…Read More
Barua ya Mwl. Nyerere kujiuzulu
Huwa tunaskiaga tu kwamba Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalim J.K Nyeree alijiuzulu nafasi yake ya ualimu katika shule ya Sekondari ya Pugu.Sasa basi hapa leo hii tumeipata barua iliyoandik…Read More
Brand New Audio song kutoka kwa Sharpa Tiz
Pure Records za mjini Morogoro chini ya Producer Dizzy Mchizi, wanakuletea hii audio mpya ya kwake Sharpa Tiz akimshirikisha Brown Punch wote kutoka Morogoro
…Read More
Hichi Hapa Ndio Chanzo cha Tetemeko Bukoba
Serikali imepeleka wataalamu wa Jiolojia katika eneo lililokumbwa na
tetemeko Bukoba ili wakafanye utafiti wa kina kuhusu tetemeko hilo.
Imesema tetemeko limetokana na misuguano ya mapande makubwa ya ardh…Read More
Mini Power Roulette ni ushindi
-
Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu
Zaidi, kupitia sloti...
The post Mini Power Roulette ni ushindi first appeared ...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment