August 29, 2016


Kupatwa kwa jua mwaka 2016 
 
Siku ya Jumatano mwezi Machi tarehe 9 watu katika baadhi ya maeneo ya Australia na Asia ya kusini walishuhudia tukio la kupatwa kwa jua.
Hata hivyo kwa mujibu wa wanasayansi ni kwamba maeneo mengine ya visiwa vya Hawaii,siku ya Jumanne walipata kuona kupatwa kwa jua.

Kwa Tanzania tukio hili  linatarajiwa kutokea siku ya Alhamisi ya 1 September 2016. Tukio hili linatazamiwa kutokea katika maeneo ya Rujewa, Mbeya na Wanging'ombe

Kupatwa kwa jua hutokea pale mwezi utakapopita moja kwa moja mbele ya jua na kusababisha kuwa na giza kwa muda fulan

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE