Waisrael wanne washtakiwa kwa mauaji
Miongoni mwa Waisrael wanaokamatwa kwa kuchukua sheria mkononi
Waisrael wanne wameshtakiwa kwa kuhusika na kumpiga mhamiaji kutoka Eritrea, ambaye alidhaniwa kuwa mpiganaji wa kiarabu.
Habtom Zerhom alikuwa katika kituo cha b…Read More
Kampuni ya Pepsi yafutiwa leseni
Waziri wa Ajira, Kazi, Sera na Bunge, Jenista Mhagama amefuta leseni ya wakala wa ajira wa Kampuni ya SBC Tanzania, watengenezaji na wasambazaji wa vinywaji vya Pepsi jijini Mwanza baada kukiuka Sheria ya ajira na uhusiano k…Read More
List ya washindi wa tuzo zinazohusiana na soka Duniani
January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFAkutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa naLionel Messi, Neymar na Cristia…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment