Ni miongoni mwa waimbaji wa bongo wanaopewa sifa nyingi za utunzi na uimbaji kwenye bongofleva, lebo inayomsimamia ni WCB ya Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama hii video usiache kutoa comment yako umeipokeaje ili akipita ajua Watu wake wamesemaje
Aweso: Sitarajii watu kuunganishiwa maji ya Bangulo kijanjajanja
-
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
Mazingira Dar...
The post Aweso: Sitarajii watu kuunganishiwa maji ya Bangulo kija...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment