October 19, 2016

October 19, 2016 Soudy Brown mtangazaji wa U Heard ya Clouds FM amepiga story na msanii Linah ambaye inadaiwa anatoka kimapenzi na jamaa mmoja anaitwa Shebby. Soudy ametaka kujua kuhusu picha zilizoanza kuzagaa zikimuonesha Shebby akiwa anamvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine.

Linah amesema anajua kwamba Shebby aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke huyo na alizaa naye ingawa kwasasa wameachana hivyo haoni tatizo yeye kuwa na Shebby.

Sikia nikwambie Soudy, hata kama watu waliona hizo picha wanajua ilikua ni lini? na kama amemchumbia kwanini mpaka sasahivi hawako wote, inamana kuna tatizo. Mimi ni kioo cha jmamii siwezi kua na mahusiano na mtu bila kujua background yake ikoje. Ndiomana nilivyoona hivyo vitu nikachukulia kawaida sababu najua kila kitu kinachoendelea:- Linah

Related Posts:

  • Video rasmi ya Raymond Natafuta kiki hii hapa    Ni miongoni mwa waimbaji wa bongo wanaopewa sifa nyingi za utunzi na uimbaji kwenye bongofleva, lebo inayomsimamia ni WCB ya Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama hii video usiache kutoa comment yako … Read More
  • Afande Sele Mikononi Mwa Polis Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA ambayo yamepigwa ma… Read More
  • Kurasa za Magazetini leo hii September 01 Karibu  katika kurasa za magazetini leo hii ikiwa ni 01 September 2016 huku Tanzania ikiingia katika Historia ya Dunia ya kupatwa kwa jua . Magazeti ya leo yamebebwa na habari hizi kubwa … Read More
  • Papa Benedict XVI aeleza sababu za yeye kujiuzulu Papa Mtakatifu Benedict XVI alipokuwa akihojiwa alisema kuwa aliona kujiuzulu kwa ke lilikuwa ni jambo la lazima kutokana na kuporomoka kwa afya yake na kushindwa kuendana na kasi ya kazi zake. Japo alitamani… Read More
  • Baada ya kuachana na mziki, Mzee Yusuph aenda Hijja    Aliyekuwa mfalme wa taarab Mzee Yussuf amepaa kwenda Makka kuhiji. Mzee Yussuf ambaye kwa sasa anapenda ajulikane kama ‘Ustadh’ badala ya ‘Mfalme’ amepaa na ndege ya Emirates mchana huu. Ustadh Mzee Yussuf a… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE