
Anafahamika kwa jina la Joh Maker, ni mwanamuziki wa Bongofleva toka mjini Morogoro, ana tuzo moja ya Super Nyota 2012 kwa mkoa wa Morogoro, na ni super nyota namab mbili kwa Tanzania nzima.
Amefanya nyimbo nyingi kati ya hizo moja inaitwa Wanasemaje amemshirikisha Stamina Producer ni Vennt Skillz toka Kwanza Record za Mjini Morogoro. ambayo inafanya poa kwa sasa. Leo tumembamba na yupo ndani ya Ubalozini.blogspot.com akizungumzia harakati zake.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment