
Kwa mujibu wa watabiri wa hali ya hewa nchini. Hali ya Hewa ya Mbeya ilikuwa hivi.
FIESTA 2016 ikizidi kuelekea ukingoni huku mzuka wa Watanzania ndiyo kwanzaaa, unazidi kuichuiua nafasi. Wakazi wa jiji la Mbeya usiku wa juzi, waliweza kuweka Historia ya aina yake kufuatia shangwe la wasanii wa Fiesta lililodondoshwa katika uwanja wa sokoine jiji hapo.

Nandi ndiye aliyetufungulia jukwaa Mbeya kwa upande wa wasanii. Imooooo!! #TigoFiesta #Fiesta2016

Shazi la wakazi wa Mbeya na maeneo ya Jirani ndiyo lililosababisha mzuka wa wasanii kuzidi kupanda katika uwanja wa Sokoine

Jux na Ben Pol walichanana live Jukwaani

Combination ya #Shishi na #ManFongo #SokoineStadium ilikuwa balaa.... Waulize akina #Mwakangale walikuwepo..... #Fiesta2016 #Imooooo

Huenda ni kweli wamerogwa, maana siyo kwa mzuka huu Roma mkatoliki na Stamina Shorobwenzi

#Fiesta2016 imedhihirisha kwamba viwango vya wasanii wetu vimekuwa kwa kiwango ch juu sana. Hapa ni msamibaby na Shamour_for_show. jukwaani

Combination kali sana ya @msamibaby na Dancers wake iliwafanya wakzi wa Mbeya washindwe kuamini kama show hii ni ndani ya Mbeya ama la! .#imoooo!!!

Mabibi na mabwana sasa ni zamu ya Maua Sma kwenye stage

Ahasnteni sana Mbeya, sisis atutii tena Neno kwenu. Tukutane Dar es Salaam 5 November ni palepale Lidaz Club
0 MAONI YAKO:
Post a Comment