
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimesusia uchaguzi wa Meya wa Manispaa wa Kinondoni kwa kile walichodai kuwa Mkurugenzi alikata majina ya wajumbe wake kinyume na taratibu.
Vyama hivyo vimeeleza kuwa wajumbe wao waliokuwa halali kupiga kura walikuwa ni wengi kuliko wale wa CCM na ndio maana Mkurugenzi akachukua hatua hiyo ili kuisaidia CCM kushinda.
Mbunge wa Kawe na Kiongozi wa Madiwani Manispaa wa Kinondoni, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari baada ya Madiwani wa UKAWA kususia uchaguzi wa Meya.
- CHADEMA MEDIA
-
Tulipoanzisha oparesheni UKUTA tulitaka kudhibiti uvunjifu wa Katiba na Sheria za nchi. Dr Vincent Mashinji
-
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Halima Mdee akitoa sababu za Madiwani wa UKAWA kususia uchaguzi Meya wa Kino http://bit.ly/2dyNPtv
-
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akijadiliana na Katibu Mkuu na Madiwani. # UchaguziMeyaKinondoni
"Tutakusanya Ushahidi na vielelezo vyote na kwenda kudai haki Mahakamani juu ya tafsiri ya sheria Uchaguzi Meya wa Kino"
Dr Vincent Mashinji
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na wanahabara baada ya uchaguzi Meya wa kino Kuvurugika
http://bit.ly/2dyNPtv
Katibu Mkuu Dr Vincent Mashinji akizungumza juu ya uvunjifu wa Sheria zilizopelekea Uchaguzi Meya Kino kuvurugika
http://bit.ly/2dyNPtv
0 MAONI YAKO:
Post a Comment