November 15, 2016

"Donald Trump wa Uturuki" 
Apata umaarufu kwa kufanana na rais mteule wa Marekani Donald Trump.
Licha ya kutokuwa rais wa Marekani, Abdullah Topçu aliwahi kuongoza kama meya nchini Uturuki.
Katika wakati wake Abdullah Topçu hakupata umashuhuri alipokuwa meya kinyume na sasa ambapo ameonekana kwa kiasi kikubwa kufanana na Donald Trump.
Amejipatia umashuhuri mkubwa kwa kufanana na Donald Trump.
Abdullah Topçu anaishi mkoani Giresun kaskazini mwa Uturuki.
Picha yake imeonekana kupeperushwa kwa wingi katika mitandao ya kijamii.
Abdullah Topçu amefahamisha kuwa anataraji kumuona Donald Trump nchini Uturuki.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE