Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari
atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa
tano kwa ujumla. Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda
amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki
zake na watu wa karibu.
Rafiki yake Nonhle Ndala ameandika: Zari’s Baby Shower
0 MAONI YAKO:
Post a Comment