Siku moja tu baada ya rais wa Jamhuri ya Muungano nwa Tanzania Dokta John Magufuli, kutengua uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Taifa bwa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya Binadam NIMR, hatimaye rais Magufuli leo hii amemtangaza mlithi wa nafasi hiyo ambaye ni Prof. Yunus Mgaya

0 MAONI YAKO:
Post a Comment