Kenyatta atangaza siku tatu za maombolezo Kenya
Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya ametangaza siku 3 za maombolezo na
bendera kupepea nusu mlingoti kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya
Chuo Kikuu cha Garissa lililoua karibu watu 150. Akilihutubia
taifa kutoka Ikulu ya Nairobi…Read More
Magazeti ya leo April 5/2015 haya hapaIkiwa Leo April 5 2015, wakristu ulimwenguni kote, wanasherehekea kufufuka kwa Yesu Kristu tukimaanisha siku kuu ya Pasaka. Hapa tunakupa fursa ya kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo.
Ubalozini.blogspo…Read More
ACT: Tunajipanga kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Agosti
Dar es Salaam.Chama cha ACT- Tanzania, kimesema hakina muda wa kufanya siasa za chuki na malumbamo dhidi ya vyama vingine vya siasa, badala yake kinajipanga vizuri na kuandaa mazingira ya kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao…Read More
Suma Lee aacha muziki
Msanii aliyefanya vizuri na single ya ‘Hakunaga’, Suma Lee amesema hatofanya tena muziki kwa sababu ameachana kabisa na maisha hayo.
Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’…Read More
36 wafariki BangladeshiMvua ya dhoruba kali iliyotokea katika mji wa Dhakanchini Bangladeshi imewauwa watu wapatao 36 na kuwajeruhi watu zaidi ya 200.
Mwandishi wa gazeti la local Prothom Alo ametangaza…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment