Mwana dada anayefanya poa sana kwa sasa katika tasnia ya muziki Nchini Rwanda Butera Knowless, ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa Ujya Unkumbura.
Brand New Video:Harmonize X Rich Mavoko - Show Me
Baada ya kuichia Video ya wimbo wao wa Show me, wakali kutoka katika Lable ya W C B Harmonize na Rich Mavoko, wamekuletea video ya wimbo huo. Video hii hapa waweza kuitazama na kutoa Comment yako hapo chini.
&…Read More
Binadamu anayekadiliwa kuwa na umri mkubwa zaidi, afariki dunia
Binadamu anayekadiliwa kuwa ndiye mwenye umri mkubwa zaidi, Emma Morano amefariki dunia akiwa na miaka 117 huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana.
Emma amekutwa na umauti akiwa nyumbani kwake Kaskazi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment