March 14, 2017

 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemwagiza Mkurugenzi wa Habari Maelezo kufuatilia utendaji kazi wa maofisa habari na mawasiliano wote ili kujiridhisha kama wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.Waziri huyo ametoa kauli hiyo Jumanne hii wakati akizungumza na maofisa habari na mawasiliano wakati akifungua kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika mkoani Dodoma.“Nataka niiagize ofisi ya Mkurugenzi wa habari maelezo kuhakikisha kuwa mnafuatilia utendaji kazi wa kila ofisa habari na mawasiliano ili kujiridhisha kama wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria au la na kama tutabaini kuna ofisa habari ambaye hatekelezi majukumu yake ipasavyo tumwombe atupishe.”
Ameongeza “Kutoa habari zinazohusiana na taasisi zenu mnazofanyia kazi ni jukumu lenu la kisheria na siyo hiari yenu kwa hiyo hakikisheni kuwa waandishi wa habari wanapowatafuta ili kupata habari kwenye ofisi zenu mnawapa taarifa sahihi na kwa wakati ili jamii iweze kupata majibu ya maswali yao kwa wakati na kwa usahihi.”

Related Posts:

  • MVUA MOROGORO ZAIDI YA MASAA 24, ZALETA ATHALI KWA WANANCHI Wananachi wa kata ya Mwembesongo wakitemebe kwenye maji baada ya barabara ya kichangani kujaa maji wakitoa maji yaliyojaa dukani kwao  Bi,Hasma Ndehele ambaye ni Kigogo wa CCM kata ya Mji Mpya ak… Read More
  •   Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Shakoor Jongo FILAMU ya Emmanuel Okwi na timu yake ya Yanga inaendelea, sasa ni ukurasa mpya baada ya mchezaji huyo raia wa Uganda kutoa kauli. Okw… Read More
  • JUMA NATURE ASEMA JOKATE MWEGELO AMEMUIGA Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na ‘kutalk the talk’ ilhali Jokate Mwegelo akileta action kweli kwa ‘kuwalk t… Read More
  • TAZAMA NMB ILIVYOSAIDIA KITUO CHA WALIMU TEMEKE   Benki ya Nmb imesaidia kituo cha walimu Temeke Meneja wa kanda ya Dar es salaam ambayo imekabidhi kompyuta mbili na mashine ya kuchapia karatasi(printer) kwenye kituo cha cha walimu wilaya ya Temeke Dar es salaam… Read More
  • TB JOSHUA: UTABIRI WAKE WATIMIA Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa. Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza sana. Jana Imetangazwa kuw… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE