March 08, 2017

wazi
Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa wakati  alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo mkoani Pwani leo Machi 8, 2017.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki ibada ya kuuombea mwili wa
marehemu Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Nne mheshimiwa Dk. Jakaya Kikwete nyumbani kwa marehemu Bagamoyo
mkoani Pwani leo Machi 8, 2017. Kulia ni Rais Mstaamu Dk. Kikwete.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE