Ikiwa leo tunaadhimisha siku ya wanawake Duniani, mwanamuziki Gonga kutoka Mokomoko Movemennt akiwa na Medy Botion na Mash Jay, wameachia wimbo unaitwa MAMA ukiwa umefanywa na Producer Vennt Skillz wa Kwanza Records Morogoro
Picha/ Mazishi ya mdau wa Media Frank Sanga wa Moro
Baba na mama wa marehemu Frank Sanga wakiweka shada
Mwakilishi wa Clouds media Daudi wa kota na mwakilishi wa wadau wa media Stanley Chinyuli wakiweka shada
Dada wa marehemu Frank, Esther Sanaga ak…Read More
Nitavumilia ya Barakah da prince na Rubby hii hapa
Mwaka 2015 jina la Barakah Da Prince, mkali wa Bongo Fleva ambae anaiwakilisha Rock City Mwanza limepaa kwa nguvu kubwa sana, hits zake zimegusa kila kona.. Watu wakaweka kura nyingi kwenye KTMA 2015 category ya Msanii…Read More
Ally Nipishe - Wanapepeta Official Video
Music Video Of Ally Nipishe under Visualization of AJ Production. The
First Music Video After Sign A label contact with Papa Misifa , CEO Of
MB Park'D Entertainment.
…Read More
Poison na Nay wa Mitego ndani ya Manzese na Moro Town
Mwanamuziki mdogo kabisaa wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Poison, safari hii anakuja na ngoma yake mpya aliyoimba na Nay wa Mitego inayoitwa Manzese na Moro town. Wimbo huo umetaarishwa na maproducer wawili tofauti …Read More
Lowassa ampongeza kikwete
Lowassa na Kikwete
Waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mbunge wa monduli Mh: Edward lowassa ametoa salam nyingi za pongezi kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kwa utendaji wake wa kazi. Mh:Lowassa ameandika ayo…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment