April 19, 2017

 

Kutoka mkoani Morogoro katika studio za Kwanza Records zilizopo Forest, Producer Vennt Skillz ametuletea mzigo mwingine uliotoka kwenye mikono yake. Wimbo wa Mash J unaitwa Mr. Masumbuko.

Enjoy hapa kwa kuskiliza na kuupakua


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE