Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya CHADEMA Joseph Haule Prof, J, amempongeza mtangazaji wa Clouds Media Millard Ayo kwa kutoa habari zake na kupaza sauti za wanyonge.
Prof J ametweet leo hii
Shukrani mdogo wangu @millardayo kwa kuendelea kuhabarisha na kupaza sauti ya wanyonge, Mungu aendelee kuibariki kazi ya mikono yako
0 MAONI YAKO:
Post a Comment