Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Simba ya mwezi February Abdi Banda, amewaaga rasmi wapenzi na mashabiki wa Club hiyo ya Msimbazi ambao ni mabingwa wabya wa kombe la FA. Kupitia ukurasa wake wa instagram Kiungo huyo machachari ameandika ujumbe huo masaa machache baada ya mechi ya Fainali iliyowakutanisha Simba na Mbao FC

>> Abdi anaandika hivi
officiallabdibanda24Ahsante
mungu nashukur kwa hiki ulichotujaalia. Zawad ya mashabiki wa simba
nawaachia acha na mm nitafute maisha sehem nyingine. Nitamiss vitu vingi
hasa sapport yenu na moyo wenu wa uvumilivu ahsanten sana kwaherini.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment