Mashabiki wa Ray C, Kimya kukubwa kina mshindo mkuu. Hatimaye mwana dada Ray C Kiuno bila mfupa, ametuletea Video ya wimbo wake unanimaliza. Ipo hapa chini
UMEIPATA HII?? INSTAGRAMA YAPOPTEA HEWANI
Application ya
Instagram jana ilikua down kwa muda usiopungua saa moja ambapo watu
walikuwa hawawezi ku-post picha zao au load picha zilizopo online.
Ndani ya muda wa saa moja ilikua haipatikani kabisa la…Read More
LIGI KUU TANZANIA BARA, AZAM YATANGAZA UBINGWA MBEYA
Matokeo mechi za leo.
JKT Oljoro 1-2 Young African
Mbeya City 1-2 Azam FC
Hivyo,kwa matokeo haya Azam FC ndio mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Hongera AZAM FC!
AZAM FC MABINGWA #VPL2013/2014
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment