Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za Asili nchini Tanznaia, Saida Karoli ikiwa leo anaadhimisha miaka 15 katika mziki pale kaika ukumbi wa Ascape One. Je unakumbuka Saida alikuwa tishio sana katika Show zake kipindi cha nyuma? Unajua kwamba Saida Karoli aliujaza uwanja wa mpira wa kitaifa akiwa msanii peke yake?? Tazama kipande kidogo cha show hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Nakikvubo nchini Uganda. Siada Karoli aliandika Historia katika uwanja huo. Uskose leo Ascape 1 , Naamini Historia inaenda kuandikwa tena pale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment