Msanii kutoka bongo flevani Dayna Nyange ametambulisha video yake mpya CHOVYA aliyoifanya south Africa na kikubwa zaidi ni kuwepo kwa mdogo wake mwanamuziki kutoka marekani Drake, Dayna amekutana na AYOTV na kueleza jinsi walivyokutana na kiasi gani cha pesa amemlipa
Brand New Video: Medybotion ft Mash Jay
New video release for MEDYBOTION Song Tittled KANIVUMIALIA
Song Was Produced By VENNTSKILLZ For KWANZA RECORDS
Video Was DIRECTED BY GQ
Video Was Shot In MOROGORO TANZANIA EAST AFRICA
MEDYBOTION INST…Read More
Exclusive: nipo tayari kujiunga WCB Barakah The Prince
Mwanamuziki Barakah Da Prince amesema yupo tayari kujiunga na lable ya WCB inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Akizungumza katika kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm kinachoongwa na Diva The Bawse, Baraka amesema. T…Read More
Mtoto wa Future na Ciara apata dili
Mtoto wa rapper Future na mwanamuziki Ciara, Zahir Wilbur ambaye kwa
sasa analelewa na mama yake pamoja na baba yake wa kambo Russel Wilson,
amepata dili lake la kwanza la kuingiza fedha nyingi.
Zahir ambaye a…Read More
Siogopi kufungwa – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
amesema atawatetea Watanzania kwa nguvu zake zote juu ya majizi huku
akisema haogopi kufungwa badala yake majizi ndio yatakayo fungwa.
Rais Mgufuli ames…Read More
Usajili: Yanga yampata mlithi wa Msuva
YANGA SC imemsajili kiungo chipukizi, Baruan Yahya Akilimali aliyekuwa anasoma nchini Uganda kwa mkataba wa miaka miwili.
Winga
huyo wa kulia anayeweza kucheza na upande wa kushoto pia, amesaini leo
mkataba wa mia…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment